Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
BEACH PLOT NYUMA YA AYA SOPHIA HOTELI, HAPA USHINDWE KUPIGA HELA TU.
lapexproperties tunakusogezea Kiwanja cha Ufukweni (Beach plot) Kigamboni, Changani kwa Bei ya Tshs 44,480,000 tu gharama hizo ni pamoja na Hati Miliki, kiwanja kipo nyuma ya Hoteli ya Aya Sophia
Karibu sana lapexproperties kwa uwekezaji bora
#viwanja #beachplot #mashamba #ardhi #lapexproperties