Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


UNAPATA WAPI NGUVU YA
KUNUNUA VIWANJA MAPORINI KWA 5M WAKATI KIGAMBONI NI 1M KIGAMBONI
Karibuni Viwanja VILIVYOPIMWA.
(SURVEYED PLOTS)
📍location : #KIGAMBONI, #MWASONGA mbele ya
DAR ES SAALAM ZOO, ☎️0686410208
— BEI YAKE NI 6,000/=Tsh kwa square meter (sqm) moja
* SQM 300 (20 kwa 15) = 1.8M
, SQM 400 (20 kwa 20) = (2.4M)
# SQM 500 (25 kwa 20) = 3M
# SQM 800 (40 kwa 20) = 4.8M
# SQM 1000 (40 kwa 25) = 6M
Unaweza kuchukua hata SQM 500, 600, 800,1000 ,20000 n.k
•unaweza kulipia nusu kwanza (installment)
•Inayobaki unalipa kidogo kidogo kadri ya uwezo wako.
•Ukichukua eneo kubwa na ukalipa Cash utapata
discount
•Umbali ni Km 24 kutoka Ferry Kupitia Kibada na km 25 kutoka darajani (nyerere bridge)
•UMEME Upo Nguzo zimepita mbele ya Mradi
•Eneo lipo karibu na huduma za kijamiii mano Shule, hospital, bar(bia tamu)
n.k
A KUTOKA FERRY HADI MWASONGA KWA DALA DALA NI SH. 800 Tu na lami ikiisha dala dala itakuwa 400
!! Kwenda Kuona Viwanja ni KILA SIKU unapelekwa na kurudishwa
👉» MABORESHO YA GHARAMA ZA VIWANJA
YAMELENGA HASWA HALI HALISI YA UCHUMI WA MTANZANIA ANAYEISH CHINI YA DOLLAR MOJA HIVYO KAMPUNI IMEJIDHATITI KUHAKIKISHA % (ASILMIA) KUBWA YA WATANZIA WANAMILIK HADHINA HII YA
MILELE (ARDHI)
•Eneo hili ni Mali ya KAMPUNI hivyo hakuna Gharama ya
Udalali
MAWASILIANO
☎️0686410208