Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
VIWANJA KIGAMBONI-DEGE
Mradi upo karibu na Ghorofa za Eco village Dege- Kigamboni.
Mita 800 kutoka lami iendeayo cheka hadi site.
Viwanja vimepimwa - HATI UHAKIKA
Huduma za kijamii zote zipo, viwanja vinaanzia sqm 600 na kuendelea.
20,000 kwa sqm Malipo ya Cash
22,000 kwa sqm malipo ya Awamu unaanza na. nusu inayobaki unalipa kwa miezi 6
Tupigie simu: 0782 763 203
Au fika ofisini Mwenge Bamaga, Ghorofa ya 04.