Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


๐๏ธKwasasa kigamboni Mwasonga Njoo na sh 2,500,000 tu umiliki kiwanja chako chenye ukubwa wa sqm500 ( 20*25)
๐๏ธViwanja vimepimwa kwanzia sqm 500 na kuendelea inategemea tu unataka ukubwa Gani
๐๏ธSqm1 sh 5000 Kwa cash na mkopo ni sh 7000 Kwa miezi18 utaanza na Asilimia 20 tu
๐๏ธHuduma za kijamii zinapatikana
๐๏ธTutakupeleka site bureee: jumatano , jumamosi na jumapili
Mawasiliano: 0717221937