Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
MRADI MPYA🔥🔥🔥
VIWANJA VINAUZWA;
Viwanja vipo KIGAMBONI- DEGE MCHIKICHINI
🎯Jirani na kabisa na makazi ya watu
🎯3 km kutoka barabara ya lami.
🎯km 25 kutoka Kigamboni Ferry
🎯Huduma zote za kijamii zipo
📍Viwanja vimeshapimwa
Sqm 1 = Tsh 20,000/=
Mfano; Sqm 400 ni Tsh 8,000,000
Lakini pia unaweza kulipa kidogo kidogo kwa kuanza 50% na nyingine ukamalizia ndani ya miezi mitatu (3).
✅Hivi sio vya kukosa 🤝
Karibu uwekeze KIGAMBONI - DEGE kwa maisha ya sasa na Baadae 👍
Tupigie;
0653988825