Viwanja vinauzwa Kigamboni, Kigamboni, Dar Es Salaamsqm 600


Tunauza Viwanja Cheka Kigamboni. Viwanja vimepimwa . Vina square meter kuanzia 650 bei milioni 10 simu 0659962452 Pia tuna viwanja vya Miradi sehemu zifuatazo Kisarawe ii Kigamboni square meter 1 Tsh 30,000 ukubwa vinaanzia square meter 500 kuendelea Cheka Kigamboni Viwanja vinaanzia square meter 6 kuendele bei ya square meter 1 Tsh 15000 Mwembe Mdodo Viwanja vina ukubwa wa kuanzia square meter 600 kuendelea bei ya square meter Tsh 20000 Gezaulole Beach plots viwanja viaanzia square meter 1000 bei ya square meter 1 Tsh 90,000