Viwanja vinauzwa Kiluvya, Pwani
MRADI MPYA KILUVYA MAKURUNGE KWA MASISTER
▫️Eneo kiluvya makurunge karibu na chuo Cha masister
▫️Ni km 6.5 kutoka barabara kuu ya morogoro
▫️Bei ni tsh 12,500 kwa Sqm
▫️Malipo Anza na 1,000,000 inayobakia utalipa kidogo kidogo Kwa miezi 12
▫️Huduma Zote muhimu zipo, mji tayari umeshaendelea
▫️Viwanja vinaanzia Sqm 400 na kuendelea
▫️ Hatimiliki ni baada ya malipo
🚐 Site visit ni Kila siku tuwasiliane kuja kuona viwanja
☎️ 0657633686