Viwanja vinauzwa Kiluvya, Pwani


Miliki Kiwanja Kilichopimwa kutoka Kwa washindi Number tatu katika category ya uwekezaji katika Real Estate Bila Riba Wala Dhamana maeneo yafuatayo
1. Kiluvya Kwa Masister
2. Kiluvya Mwanakondoo
3. Kibaha,Boko Timiza
4. Kibaha, Picha ya Ndege mtaa wa SOFU
5. Kibaha Kwa Mathias
6. Kibaha Misugusugu
Bei ni kuanzia 3,400,000/= Hadi 6,000,000/= kulingana na mahali viwanja vilipo. Ukubwa ni kuanzia 400m² au 20m Kwa 20m au Kwa wale wa Vipimo vya makabati ni futi 66m Kwa futi 66
Malipo ya Awali: 1,000,000/=
Kinachobaki utalipia taratibu ndani ya miezi Sita Hadi Mwaka Mmoja.
Ofisini: Kiluvya Madukani
Mawasiliano
0659 972 868
0763 172 814