Viwanja vinauzwa Kimara, Dar Es Salaam
KIWANJA 💥 KIWANJA 💥 KIZURI SANA KIKUBWA SANA
KINAUZWA KIMARA TEMBONI ( SARANGA)
💥 SIFA ZA KIWANJA:>>
#MBELE YA KIWANJA HIKI KIMEJENGWA FREM (8) ZA BIASHARA/ UNFINISHED
# KIPO SEHEMU NZURI
#KINAFAA KUJENGWA NYUMBA KUBWA YA KUISHI KIFAMILIA, AU NYUMBA ZA BIASHARA (APARTMENT'S)
UKUBWA WA ENEO NI SQUARE METERS 4550.
💥BEI MILION 110
MAONGEZI YAPO
KIWANJA HIKI KIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE KIWANJA HIKI NI KM 2.
USAFIRI<<>>>
BAJAJI. TSH700/=
PIKI PIKI. TSH1000/=
NA ENEO HILI LIPO PEMBEZONI MWA BARA BARA INAYOENDELEA KUJENGWA KIWANGO CHA LAMI.
NDANI YA ENEO HILO, KUNA VIWANJA VIWILI TAYARI VINA HATI SAFI KUTOKA WIZARANI (CLEAR TITLE DEED) NA UPANDE MWINGINE BADO HATI ZAKE HAZIJATOKA🏘️
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 58 58 64 49
MSHATI
______