Viwanja vinauzwa Kimara, Dar Es Salaam







KIWANJA KIZURI SANA CHENYE FENCE PANDE 3 KINAUZWA KIMARA SUKA GOLANI
Ukubwa sqm 500
Umbali KM 4 usafiri bajaji mpaka site ni hii njii ya golani inayowekwa zege
Huduma zote Muhimu zipo hapa, panafikika bila shida
Bei Mil. 33 maongezi fika site
Kupelekwa kuona viwanja 25,000
SIMU
071265607