Viwanja vinauzwa Kimbiji, Dar Es Salaam



VIWANJA VYA UFUKWENI VINAPATIKANA โ KIMBIJI CENTRE ๐๏ธ
๐ Umbali wa mita 300 tu kutoka baharini
๐ Umbali wa mita 100 kutoka barabara ya FerryโKimbiji
๐ Karibu na Kituo cha Mabasi Kimbiji (Centre)
๐ Vimezungukwa na makazi ya watu, viwanda, hoteli, hospitali ya serikali na Eco Village Hotel
๐ฐ Bei kwa sqm:
๐น Tsh 50,000/= (Malipo ya Cash)
๐น Tsh 52,000/= (Kwa Awamu)
โจ Faida za kununua hapa:
โ
Vimepimwa na kuidhinishwa na Wizara ya Ardhi
โ
Hati Miliki (Title Deed) ni uhakika.
โ
Eneo zuri kwa makazi na uwekezaji
๐ Piga simu / WhatsApp:
0653988825
๐ข ONEROOF REAL ESTATE COMPANY LIMITED
Ofisi: Kigamboni Mjimwema โ Skanska Bus Stand
#beachplots
#beachplotsforsale