Viwanja vinauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
Viwanja Vinauzwa; Kinyerezi kifuru.
Kutoka lami mita 500,
Vipo viwanja vi4 vya Sqm tofauti.
Kila kiwanja kina bei yake.
Sqm 585. = 20,500,000/=
Sqm 850. = 30,000,000/=
Sqm 985. = 35,000,000/=
Sqm 1,652. = 65,000,000/=
Viwanja vimepimwa, hati bado.
Ni vizuri sana kwa makazi.
Mtaa mzuri sana, umetulia
Karibuni sana.