Viwanja vinauzwa Kisarawe Ii, Dar Es Salaam
VIWANJA VIWILI, UKUBWAJUMLA SQM.1200, TSHS.30 MILIONI, KISARAWE II,-LINGATO/KIGAMBONI.
VYOTE VIWILI VIMEPIMWA na vina namba za Wizara.
Unaweza kuchukua vyote au kimoja.
Ni umbali wa kilomita 17 kutoka Ferry.
Na ni chini ya kilomita 2 kuingia ndani.
Eneo ni KISARAWE-II,
Jirani na Shule ya Sekondari ya Mfano ya LINGATO.
Unachepukia (Zamani kwa MR. KUKU)
Hapa unaweza kuweka Makazi/Biashara au tena kuweka
Shughuli ya KiBiashara pekee.
Ni Mkabala na Eneo tengefu la shughuli za Viwanda pamoja na Biashara na Pia ni mita chache kutoka ilipo Shule.
Umeme upo jirani na Barabara imechongwa.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
______________hpByn
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali