Viwanja vinauzwa Kisarawe Ii, Dar Es Salaam


Wasiliana Nasi 0765260665
KARIBUNI SANA katika Mradi wa Viwanja Tunavyoviuza KISARAWE II
.
Sifa za Mradi:
π Mradi upo kisarawe II karibu na Viwanja vya TFF na Yanga
π Kutoka Daraja la J.K. Nyerere hadi SITE ni Km 12
π Umeme, Maji na Barabara Tayari vilishakuwepo muda mrefu
π Tayari kumeshajengeka na makazi ya watu yapo
π Tunauza Sqm 1 ni Tsh 18,000 kwa cash Na Tsh 22,000 kwa Installment
π Site tunampeleka mteja bure wakati wowote akiwa tayari kwenda
π Hatimiliki Bure
.
Karibu sana Kwa Huduma za Viwanja na Hatimiliki kwa Wakati Wote:
0765260665
(Uhahitaji kufahamu zaidi juu ya viwanja / Ushauri / Maswali / Huduma zetu Unakaribishwa)
Endelea kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii Facebook/Instagram/Twitter helymonproperty
Huduma zote za kijamii zipo, Umeme, Maji, Barabara, Shule, Kanisa, Msikiti, n.k Ni kuwahi sasa kujipatie kiwanja Chako kabla hawajakuwahi, viwanja ni vichache
.
#HelymonPropertyLtd
#YouDeserveTheQuality
#MilikiKiwanjaDar
Cc: priv aldinho