Viwanja vinauzwa Lugoba, Pwani
Viwanja vimepimwa Lugoba
↪Umbali ni km 2 tu kutoka barabara ya Msata
Viwanja vipo kuanzia sqm 600 Vyenye thamani ya 1,800,000/=
↪Muda wa malipo ni hadi miezi 20.
Huduma za kijamii zote muhimu Zinapatikana
Maji na umeme vipo tayari
↪Kuona viwanja ni kila Jumamosi na Jumamosi Hii ya 21/12/2024
Tupigie simu kuweka booking! Mapema
+255683273159
Tunapatikana sinza kivulini Jirani na S. H Amon Builiding