Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam


Umekua ukitafuta kiwanja Dar, kweny huduma zote za kijamii na eneo tambarare??
👌MADALE MIVUMONI is a project for you
💎Viwanja viko neat, vinepimwa na kuthibitishwa na wizara
💎Mwezi mmoja tu una hati yako mkononi
📌Malipo ni kwa mkupuo na kidogo kidogo hadi miezi 6 , unakosaje
Mkupuo : 58,000 kwa sqm
Mfano : Sqm 400 yani 20 kwa 20 ni
400*58,000 =23,200,000
Kidogo kidogo( installment) : 60,000 kwa sqm
Mfano : sqm 400 yani 20 kwa 20 ni
400*60,000 =24,000,000
Malipo ya awali ni 50% : 12,000,000 halafu nusu inayobaki unalipa taratibu ila umalize ndani ya miezi 6
🌸Site visit ni kila siku
☎️0659540265 ni inbox kutumiwa ramani na kutembelea site
📍Office zetu zinapatikana jengo la IPS, gorofa ya 5, Posta