Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam


π₯ FURSA YA KUMILIKI VIWANJA VYA KUPIMWA MADALE MIVUMONI KWA BEI NAFUU! π₯
Usikose nafasi hii ya kipekee ya kumiliki viwanja vimepimwa kwenye eneo bora la Madale Mivumoni. Viwanja vimepimwa na mteja atapata hati bila usumbufu wa aina yoyote!
π Mahali:
β’ 2 km kutoka barabara ya lami (Kituo cha Kontena - Wazo)
β’ 4 km kutoka barabara ya Madale (Kituo cha Six)
β’ 2 km kutoka Salasala mwisho wa lami
π Ukubwa wa Viwanja: Kuanzia sqm 220 hadi 812
π° Bei: TZS 55,000 kwa sqm
NAMBA MOJA REAL ESTATE DEVELOPERS