Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 80,000
Project
Yes

MADALE MIVUMONI - eneo tambalale kabisa

■■ Viwanja vipo jirani kabisa na barabara kuu ya kutoka Goba kuelekea Madale.

■■ Hapa tumepima viwanja 20 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa mita chache unaingia ndani kwako hapo hapo.

■■ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri.

■■ Viwanja vipo sehemu ambayo kwenda katikati ya mji ni mwendo wa dakika kadhaa tu.

■■ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

BEI ZA VIWANJA NA UKUBWA WAKE

Bei hapa ni 80,000Tsh kwa sqm 1 ya mraba na malipo yake ni CASH . Katika suala la bei maongezi yapo kidogo.NJOO OFISINI

Viwanja vya hapa vina ukubwa kuanzia sqm 600[upana 20mita × urefu 30mita] mpaka sqm 1500[upana inakuwa 30mita x urefu 50mita].

Inamaana hapa viwanja vimeanzia milioni 40 mpaka milioni 120 kutokana na ukubwa unaotaka wewe mnunuaji tu.

UMBALI WA PROJECT YA VIWANJA

1km kutoka Madale centre na 1km kutoka madale road(Barabara ya Lami, ingawa barabara ya kwenda eneo la project ni kubwa (30mita) na inafikika katika kipindi chote cha mwaka iwe masika iwe jua

Nauli kutoka Mbezi Magufuli Stand au Tegeta mpaka Madale ni sh. 500 tu kwa daladala na kutoka barabara ya Lami kwenda site hata kwa miguu unaenda vizuri kabisa mana ni karibu.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI #0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na ndio wamiliki wa mradi.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 47,000,000

VIWANJA! VIWANJA! VIWANJA!KIWANJA KINAUZWA;MAHALI; MADALE.....UKUBWA; SQM 600.....BEI; MILIONI 47(MA...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 48,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Kipo barabara kubwa ya mtaa Ukubwa-sqm 1200Umiliki-hati miliki Bei-ml 4...

Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 47,000,000

VIWANJA! VIWANJA! VIWANJA!KIWANJA KINAUZWA;MAHALI; MADALE.....UKUBWA; SQM 600.....BEI; MILIONI 47(MA...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 28,000,000

...PLOT NZURI MNO INAUZWA📌LOCATION: MADALE POLICE ✍️UKUBWA:450 SQM📌BEI: 28M✍️DOCUMENT: A CLEAN SA...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 125,000,000

🏡 NYUMBA MPYA INAUZWA – MADALE! 🏡📏 Kiwanja: 400 sqm 🛏️ Vyumba 3 (1 master) 🛋️ Sebule kubwa, jik...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 600,000 per month

1.1 billions mazungumzo yapo Square meters 1,600HATI MILIKI IPO APARTMENTS ZIPO 7 kwenye compound.60...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 48,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Kipo barabara kubwa ya mtaa Ukubwa-sqm 1200Umiliki-hati miliki Bei-ml 4...

Nyumba inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

GHOROFA INAUZWA MADALE(UNFURNISHED) BEI POA###VYUMBA V3 KULALA V2 MASTERS,SEBLE,JIKO,DINNING NA CHOO...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 60,000

Plots For Sale Madale Msakuzi 3km From Magufuli Terminal 60,000 tshs per SQM0794277000

Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 541,000,000

PLOT FOR SALE MADALE MIVUMONI Viwanja Vimepimwa unaweza lipa kwa awamu What's up kwa ajili ya mchoro...

Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 48,000,000

VIWANJA! VIWANJA! VIWANJA!KIWANJA KINAUZWA;MAHALI; MADALE ATLAS.....UKUBWA; SQM 620.....BEI; MILIONI...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

#VYUMBA_VIWILI_VYA_KULALAINAPANGISHWA #APARTMENTMAHALIMADALE MIKOROSHINI NYUMBA LAMIKODI TSHS LAKI ...

Nyumba inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

GHOROFA INAUZWA MADALE(UNFURNISHED) BEI POA###VYUMBA V3 KULALA V2 MASTERS,SEBLE,JIKO,DINNING NA CHOO...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 5,000,000

Plot ekari 10Madale wazo hill roadPrice $5,000,000usd Contact call 07125316570789731695

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 145,000,000

🏡 HOUSE FOR SALE 🏡📍 Location: Madale – Mkoroshini🛣️ Umbali: Mita 300 tu kutoka barabara ya lami�...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 155,000,000

HOUSE FOR SALE; LOCATION: madale mivumoniKutoka lami kiromita1SQM: 1,300Vyumba vi4 vyote master, (3)...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 800,000

NYUMBA INAPANGISHWA APARTMENTS #VYUMBA_VIWILI VYA KULALA IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MADALE SHERATON...

Nyumba inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

NYUMBA YA GHOROFA (UNFINISHED)INAUZWA IPO MADALE DARVYUMBA V3 KULALA V2 MASTER, SEBULE, JIKO, DINNIN...

Nyumba inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Tegeta MadaleIna Vyumba Vinnie vya kulala, Viwili ni Master, ...

Nyumba inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Tegeta MadaleIna Vyumba Vinnie vya kulala, Viwili ni Master, ...