Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam


MADALE MIVUMONI 0766068615
UMBALI WA KM 1 Toka Lami
BEI YA SQM 1 NI 35,000 KWA CASH
INSTALLMENT NI 40,000 kwa SQM 1
Unaanza na 50% Inayobaki Unalipa miez 3
Neighborhood iko Vizuri Huduma Za kijamii zimefika kama Maji na umeme
VIWANJA VIMEPIMWA KUANZIA SQM 400
Nazaidi
TUNAFATILIA HATI YA MTEJA
SITE VISIT NI KILA SIKU WEKA APPOINTMENT MAPEMA HAKUNA TOZO
NIPIGIE Au Tembelea ofisi zetu
Opposite na Mlimani City, jengo la Sky City Mall.