Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 80,000
Project
Yes

MADALE MIVUMONI - eneo tambalale kabisa

■■ Viwanja vipo jirani kabisa na barabara kuu ya kutoka Goba kuelekea Madale.

■■ Hapa tumepima viwanja 20 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa mita chache unaingia ndani kwako hapo hapo.

■■ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri.

■■ Viwanja vipo sehemu ambayo kwenda katikati ya mji ni mwendo wa dakika kadhaa tu.

■■ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

BEI ZA VIWANJA NA UKUBWA WAKE

Bei hapa ni 80,000Tsh kwa sqm 1 ya mraba na malipo yake ni CASH . Katika suala la bei maongezi yapo kidogo.NJOO OFISINI

Viwanja vya hapa vina ukubwa kuanzia sqm 600[upana 20mita × urefu 30mita] mpaka sqm 1500[upana inakuwa 30mita x urefu 50mita].

Inamaana hapa viwanja vimeanzia milioni 40 mpaka milioni 120 kutokana na ukubwa unaotaka wewe mnunuaji tu.

UMBALI WA PROJECT YA VIWANJA

1km kutoka Madale centre na 1km kutoka madale road(Barabara ya Lami, ingawa barabara ya kwenda eneo la project ni kubwa (30mita) na inafikika katika kipindi chote cha mwaka iwe masika iwe jua

Nauli kutoka Mbezi Magufuli Stand au Tegeta mpaka Madale ni sh. 500 tu kwa daladala na kutoka barabara ya Lami kwenda site hata kwa miguu unaenda vizuri kabisa mana ni karibu.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI #0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na ndio wamiliki wa mradi.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Nyumba inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 135,000,000

NYUMBA NZURI MNO MJENGO WA KISASA INAUZWA MADALE###BEI MILIONI 1350759128747 06244365030712058357 WH...

Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 135,000,000

HOUSE FOR SALE: LOCATION: LOCATION madale SQM: 400+Nyumba ina vyumbavi 4PRICE: 135 MILLION kutoka ...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 135,000,000

HOUSE FOR SALE: LOCATION: LOCATION madale DarSQM: 400+Nyumba ina vyumbavi 4 Sitting room: 1Modern wi...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 17,000,000

KIWANJA KINAUZWA MADALE MBOPO,Kimepimwa tayar, KINA PLOT NUMBER,tambalale kabisamaji na umeme vipo,...

Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 541,000,000

PLOT FOR SALE MADALE MIVUMONI Viwanja Vimepimwa unaweza lipa kwa awamu What's up kwa ajili ya mchoro...

Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 135,000,000

HOUSE FOR SALE: LOCATION: LOCATION madale SQM: 400+Nyumba ina vyumbavi 4PRICE: 135 MILLION kutoka ...

Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 135,000,000

HOUSE FOR SALE: LOCATION: LOCATION madale SQM: 400+Nyumba ina vyumbavi 4PRICE: 135 MILLION kutoka ...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 28,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa bei ya January Kiwanja mkeka km unavyoona Ukubwa-sqm 1000Umiliki-mauzia...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 28,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa bei ya January Madale mbopoUpande usiokua wa DDCKiwanja mkeka km unavyo...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA BINAFSI Mtaa mzuri sana wa kishua Ukubwa-sqm 1000Umiliki-mauziano serik...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Mtaa mzuri sana wa kishua Ukubwa-sqm 1000Umiliki-mauziano serikali za m...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Kipo barabara kubwa ya mtaa Ukubwa-sqm 900Kimepimwa bado Hati Bei-ml 35...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Mtaa mzuri sana wa kishua Ukubwa-sqm 1000Umiliki-mauziano serikali za m...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Mtaa mzuri sana wa kishua Ukubwa-sqm 1000Umiliki-mauziano serikali za m...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 300,000,000

NYUMBA KALI MNOOO INAUZWAMADALE KONTENAPLOT SIZE 600SQMMITA 200 TOKA LAMIHATI YA WIZARAPAKISHUAAINA ...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 48,000,000

KIWANJA KIZURI MNO KINAUZWA BEI POA MADALE MSIGANI####KINA HATI YA WIZARA(CLEAN TITLE DEED)####KINA ...

Nyumba inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

Chumba kinapangishwa.Kina sebule, jiko na choo.Umeme na majiKinajitegemeaipo Madale FlamingoBei 250,...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 195,000,000

Nyumba Inauzwa,Ipo Madale MwishoIna 665,Sqm Bei Milioni 195,Maongezi yapoHati Miliki ipo,Nyumba ina ...