Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa madale shule.
Mita 500 tu Kutoka lami.
Ina vyumba vitatu vya kulala vyote master.
Nyumba imejengwa kisasa kabisa, ina madirisha makubwa, system nzuri za umeme na maji, jiko kubwa muundo wa kisasa, vyumba vyote ni vikubwa. Ina tank la maji kubwa ila pia ina parking ya kutosha
Ukubwa wa kiwanja ni sqm 880
Ina hati miliki safi kabisa.
Ipo kwenye mazingira tulivu.
Bei 200M
Karibuni sana.
#nyumba #tanzania #viwanja #nyumbazanguvu #dalali #daressalaam #biashara #nyumbazakisasa #nyumbanzuri #kodi #ujenzi #kiwanja #realestate #diamondplatnumz #dodoma #inapangishwa #nyumbabora #mashamba #kigamboni #ina #kwa #ramani #madirisha #nunua #house #garama #nyengine #vyumba #siitingroom #mwanza