Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam







Viwanja vizuri sana vinauzwa:
Viwanja vimepimwa bado hati, unaweza ukaunganisha viwili au zaid
Ukubwa- kuanzia sqm 500 had 900
Bei- 55,000/= kwa sqm 1
Location- madale nyakasangwe
Umbali-km 2 kutoka main road madale polisi
0745559598