Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam


MRADI WA VIWANJA
📍MADALE MIVUMONI
Sifa za HUU MRADI
📌VIWANJA VIMEPIMWA NA VIKO APPROVED
📌Ukubwa ni kuanzia SQM 450 na kuendelea
📌2km KUTOKA SALASALA MWISHO WA LAMI
📌2km Kutoka LAMI YA MADALE
✅Umeme, shule, hospitali na Maji ya Dawasa yapo
Utaratibu wa malipo
💎Cash : 58,000/ sqm
💎Installment: 60,000 / sqm , unaanza na 50% then 50% unalipa ndani ya miezi 6, sio lazima ulipe kila mwezi
😍Site visit ni kila siku
☎️0659540265 / 0718354943
📍IPS BUILDING, 5th floor, Posta