Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 80,000
Project
Yes

MADALE MIVUMONI - eneo tambalale kabisa

■■ Viwanja vipo jirani kabisa na barabara kuu ya kutoka Goba kuelekea Madale.

■■ Hapa tumepima viwanja 20 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa mita chache unaingia ndani kwako hapo hapo.

■■ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri.

■■ Viwanja vipo sehemu ambayo kwenda katikati ya mji ni mwendo wa dakika kadhaa tu.

■■ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

BEI ZA VIWANJA NA UKUBWA WAKE

Bei hapa ni 80,000Tsh kwa sqm 1 ya mraba na malipo yake ni CASH . Katika suala la bei maongezi yapo kidogo.NJOO OFISINI

Viwanja vya hapa vina ukubwa kuanzia sqm 600[upana 20mita × urefu 30mita] mpaka sqm 1500[upana inakuwa 30mita x urefu 50mita].

Inamaana hapa viwanja vimeanzia milioni 40 mpaka milioni 120 kutokana na ukubwa unaotaka wewe mnunuaji tu.

UMBALI WA PROJECT YA VIWANJA

1km kutoka Madale centre na 1km kutoka madale road(Barabara ya Lami, ingawa barabara ya kwenda eneo la project ni kubwa (30mita) na inafikika katika kipindi chote cha mwaka iwe masika iwe jua

Nauli kutoka Mbezi Magufuli Stand au Tegeta mpaka Madale ni sh. 500 tu kwa daladala na kutoka barabara ya Lami kwenda site hata kwa miguu unaenda vizuri kabisa mana ni karibu.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI #0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na ndio wamiliki wa mradi.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 17,000,000

SQM 544, KINA HATI MILIKI, BEI 17 MILIONmadale mbopo,tambalale kabisa,maji na umeme vipo,bei 17 mili...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

Plot For Sale Madale Mikoroshini SQM 741Million 65Mita 900 kutoka Madale Road 0794277000

Nyumba inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 135,000,000

NYUMBA NZURI MNO MJENGO WA KISASA INAUZWA MADALE###VYUMBA V4 KULALA V2 MASTERS,SEBLE,JIKO,DINNING NA...

Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 85,000

Viwanja vizuri sana vinauzwa: Mtaa mzuri sana wa kibabe Vipo viwanja 13 vya kuwahi havikaiUkubwa kua...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

🏡 HOUSE FOR SALE – MADALE MBOPO📍 Location: Madale Mbopo(Nyumba ipo karibu sana na barabara ya lami...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 60,000,000

TAREH 17/1/2026 KIWANJA KINAUZWA DAR ES SALAM TZ.MAHALI MADALE MSIGANI SQM 800BEI TSH MIL 60HATI SAF...

Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 85,000

Viwanja vizuri sana vinauzwa: Mtaa mzuri sana wa kibabe Vipo viwanja 13 vya kuwahi havikaiUkubwa kua...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

INAUZWA LOCATION MADALE TEGETA 4 ROOM 1 MASTER BEDROOM SITTING ROOM DAINNG ROOM KITCHEN STORE PUBLIC...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

INAUZWA LOCATION MADALE TEGETA 4 ROOM 1 MASTER BEDROOM SITTING ROOM DAINNG ROOM KITCHEN STORE PUBLIC...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 20,000,000

...PLOT NZURI MNO INAUZWA📌LOCATION: MADALE MIVUMONI UMOJA ROAD✍️UKUBWA: 500 SQM📌BEI: 20M✍️DOCUMEN...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 85,000 per sqm

Plots kali sana Madale Mivumoni SQM 1 >>>> 85,000 mazungumzo yapo0794277000Mita 500 kutoka lami mpya...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 500,000,000

Plots For Sale Madale Mivumoni 🛣️ 500m From Mivumoni Road 🏷️Price SQM 500 Million 42 SQM 1000...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 800,000

Apartment for Rent – MADALE KWA KAWAWA Location: Madale (1Km from the main road)Property Features: •...

Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 80,000,000

VIWANJA VINAUZWA VIPO VIWANJA 7SQM 1000 BEI MIL 80 SQM 500. BEI MIL 40MAHALI MADALE MIVUMONI MAWASI...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 135,000,000

House For Sale Location: MADALE WAZO JIRANI NA LAMIPlot Size Sqm 400+Documents:Serikali Ya mtaa )4 B...

Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 541,000,000

Viwanja Vimepimwa unaweza lipa kwa awamu What's up kwa ajili ya mchoro🛣️1.5km From Madale Road🛣️10...

Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 541,000,000

Viwanja Vimepimwa unaweza lipa kwa awamu What's up kwa ajili ya mchoro🛣️1.5km From Madale Road🛣️10...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

...PLOT NZURI MNO INAUZWA/0743384350📌LOCATION: MADALE MBOPO ROAD✍️UKUBWA: 1000 SQM📌BEI: 75M✍️DOC...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

NYUMBA INAUZWA BEI RAHISI MNOOMILLION 65 #MAONGEZI_YAPOUKUBWA WA ENEO SQM 500INA VYUMBA VINNE VITATU...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

NYUMBA MPYA INAUZWA MADALE NJIA YA MBOPO DAR ES SALAAM BEI MILIONI 65,000,000/= MILIONI0759128747 06...