Viwanja vinauzwa Maendeleo, Mbeya


📌Haya wapenda maendeleo wenzangu, viwanja vya MAHOMANYIKA ndo kama ivo, vinaendelea kuyoyoma
🌸5km kutoka Government city ( Mji wa serikali) ambapo na lami ndo iko na ni upande huo huo wa mji wa serikali
🌸Viwanja viko tambarare na vimepangwa vizuri saanaa
🌸Halafu bei yake sasa ndo mwisho wa maelezo
Cash : 6,000/ sqm
Installment: 7,000/ sqm unaanza na nusu halafu nusu unalipa ndani ya miezi 6 , imagine
🚖Site visit ni kila siku
☎️0659540265 / 0718354943
📍Tuko jengo la IPS, gorofa ya 5, Posta