Viwanja vinauzwa Makurunge, Pwani
😂🙌🏻 me nataka Niulize viwanja vyetu vikae sokoni muda mrefu Kwani vina shida gani 😅? Kwa ni pori tunauza? Kwani sio potential enough? Au vina changamoto za kimazingira?
📌 Kama ulikosa Miradi yetu ya makurunge iliyopita, kitu kizuri zaidi kilikuwa kinakusubiri!
Jipatie kiwanja chako Makurunge Royal Estates 🏡
Makurunge ya matajiri Leo 📌
*BEI*
Kuanzia sqm 413 x 10,000
Cash payment 4,130,000
Installment 413 x 12,000
4,956,000
Malipo ya miezi 24 kila mwezi 206,500
Mahi dear umependa kiwanja lipia 📌
Niwekee hiki ❌
Nitalipia kesho❌
Nitalipia mwisho wa mwezi❌
Nimekutumia receipt✅
☎️ CALL/WHATSAPP
0744 817 882