Viwanja vinauzwa Mawasiliano, Morogoro
Leo tunawaletea eneo zuri sana lililopo Kola B lenye ukubwa wa square meter 773. Eneo lipo kwenye mazingira tulivu na ya kuvutia na majirani wa maana sana.
Eneo hili Lina hati na huduma zote za kijamii zinapatikana kwa urahisi kabisa. Ushindwe wewe tu tajiri yangu.
Eneo hili linauzwa kwa bei ya shilling million 75 tu tajiri yangu lakini maongezi yapo.
Kwa mawasiliano zaidi unaweza kutupigia kwenye namba +255 745 846 988
#msouthrealestate #realestate #viwanja #realestatetanzania #ardhi #realestateagent #realestateinvesting #morogoro #kiwanja #commercial