Viwanja vinauzwa Mawasiliano, Morogoro


Je umehangaika kupata viwanja bora vilivyopimwa kwa bei nafuu? Karibu oasis premises limited umiliki kiwanja kilichopimwa.
Viwanja vyetu vinapatikana kigamboni, bagamoyo na kibaha. Kwasasa viwanja vilivyopo sokoni;
📍coastal tropical beach plots
Mradi upo kigamboni kimbiji.
Bei kwa sqm 1 kwa cash 40,000, instalment 45,000 kwa miezi 18.
📍kigamboni kwa moris
Mradi upo kigamboni kimbiji. 35km kutokea feri 1km kutokea baharini.
Bei kwa sqm 1 cash 8000 installment 10000.
📍kigamboni executive
Mradi upo kimbiji kituo bohari. Umbali kutoka feri 35km, 1km kutokea main road.
Bei cash 8500 kwa sqm1
📍kibaha picha ya ndege
Kutokea morogoro road ni km4 adi site
Bei cash 15, 000 installment 18000 ndani ya miezi 18
📍Bagamoyo mataya
Kiwanja kilichobaki ni sqm 425
Bei 10,000cash, installment 12,000.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0677110964