Viwanja vinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam


💥VIWANJA VINAUZWA💥
LOCATION : MIPEKO
WILAYA : MKURANGA
MKOA :DAR ES SALAAM
BEI YA SQM 1 : 6000
VIWANJA VIMEPIMWA .UMBALI WA VIWANJA KUTOKA MBAGALA NI KILOMITA 13. UMBALI WA VIWANJA KUTOKA SOKO LA MBANDE NI KILOMITA 2
NYARAKA ZA UMILIKI (SALE AGREEMENT) UNAPATA UNAPONUNUA KIWANJA
KILOMITA 13 KUTOKA MBAGALA
MIUNDO MBINU :
UMEME UPO
BARABARA KUFIKA KWENYE VIWANJA SITE NI NZURI
VINAFAA KWA MAKAZI , BIASHARA NA KILIMO
WASILIANA NASI SASA
0787000468