Viwanja vinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam


OFA YA VIWANJA KUTOKA KAMPUNI YA RAMAHA LAND. ANZA NA LAKI TATU KISHA ULIPE KIDOGO KIDOGO NDANI YA MIEZI MITANO
_____________________________________
0699088721)!0674582245whtasp
_____________________________________Kampuni ya RAMAHA LAND
Imekukuletea site mpya yenye viwanja 100 vyenye ukubwa wa fut 50 kwa 40 kwa sh 1,500,000/ tu.
Pia unaweza kuunganisha kuanzia viwili nakuendelea
Anza na laki tatu kisha kwa kila mwezi lipa 240,000 x 5 utakuwa umemaliza deni.
Ndugu yangu hii siyo ya kukosa mwanzo tulikua na ofa ya viwanja 250 kwa utaratibu kama huu kwa sasa ni viwanja 100 tu navyo vimepakana na sekondari ya Tambani kule kule kwenye site ya viwanja 250 vilivyoisha.
Umeme upo hapo hapo ni nguzo tatu tu na viwanja ni tambarale safi kabisa ukifika utajionea mwenyewe.
Viwanja vipo ,,,, MBAGALA MBANDE MIPEKO,,,,,, Jilani na uwanja wa mpira wa Azam uliopo Dar es salaam wilaya ya Temeke kata ya Chamazi. Umbali kutoka uwanja wa Azam mpaka kwenye viwanja ni kilomita nne tu. Ukitaka kufika mbande panda gari K /Koo,Temeke, Tandika, Posta na Buza nauli 700/=had Mbande magengeni shuka. Chukua bodaboda 🏍 1000 bajaji 🛺 700 hadi saiti ______________________________________
Huduma zote za kijamii zipo kwa mfano
Maji✓
Shule✓
Umeme✓
Zahanati✓
Barabara✓
Ofisi yetu ipo wazi kila siku kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni. Njoo ofisini twende site ukachagua kiwanja bora kwa makazi bora na salama.
Na unaweza ukaunganisha zaidi ya kimoja
Karibuni sana wateja KAMPUNI YA RAMAHA LAND uaminifu ni %%%100%%%
_____________________