Viwanja vinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F832a9a67-5ba5-4c7b-8604-dbf7a7611a3d.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F832a9a67-5ba5-4c7b-8604-dbf7a7611a3d.jpg&w=256&q=75)
OFA YA VIWANJA KUTOKA KAMPUNI YA RAMAHA LAND. ANZA NA LAKI TATU KISHA ULIPE KIDOGO KIDOGO NDANI YA MIEZI MITANO
_____________________________________
0699088721)!0674582245whtasp
_____________________________________Kampuni ya RAMAHA LAND
Imekukuletea site mpya yenye viwanja 100 vyenye ukubwa wa fut 50 kwa 40 kwa sh 1,500,000/ tu.
Anza na laki tatu kisha kwa kila mwezi lipa 240,000 x 5 utakuwa umemaliza deni.
Viwanja vipo ,,,, MBAGALA MBANDE MIPEKO,,,,,, Jilani na uwanja wa mpira wa Azam uliopo Dar es salaam wilaya ya Temeke kata ya Chamazi. Umbali kutoka uwanja wa Azam mpaka kwenye viwanja ni kilomita nne tu. Ukitaka kufika mbande panda gari K /Koo,Temeke, Tandika, Posta na Buza nauli 700/=had Mbande magengeni shuka. Chukua bodaboda 🏍 1000 bajaji 🛺 700 hadi saiti
____________________________________
Ukubwa wa kiwanja na Bei zake
Futi 50 kwa 40 =milioni 1,200,000/=
Futi 50 kwa 40 =milioni 1,300,000/=
Futi 50 kwa 40 =milioni 1,500,000/=
Fut 50 kwa 40 =milioni 1,600,000/=
Fut 50 kwa 40 =milioni 1,800,000/=
Futi 50 kwa 40 =million 2,000,000/=
Futi 50 kwa 40 =milioni 2,200,000/=
Fut 50 kwa 40 =milioni 2,500,000/=
Fiti 50 kwa 40 =milioni 3,000,000/=
KWA MITA KUNA
SQM 180
SQM 360
SQM 520
SQM 720
SQM 1080 ______________________________________
Huduma zote za kijamii zipo kwa mfano
Maji✓
Shule✓
Umeme✓
Zahanati✓
Balabala✓
Ofisi yetu ipo wazi kila siku kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni. Njoo ofisini twende site ukachagua kiwanja bora kwa makazi bora na salama.
Na unaweza ukaunganisha zaidi ya kimoja
Karibuni sana wateja KAMPUNI YA RAMAHA LAND uaminifu ni %%%100%%%
_____________________