Viwanja vinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 2,000,000
Project
Yes

HAPA NI ZINGA BAGAMOYO BARABARANI, UKIONA BANGO HILO JUA MRADI WETU NDIO UPO HAPOHAPO.

TUNATOA HATI BURE KABISA HAPA

๐Ÿ“Œ Bei tunauza sqm 1 kwa 18,000Tsh na malipo ni kwa awamu mpaka mwaka mzima yaani kiwanja cha ukubwa wa 20mita kwa 20mita unapata kwa 7milioni na hiyo unalipa kwa mwaka mzima.

๐Ÿ“Œ Malipo utaanza na 2milioni tu, nyingine utalipa kwa awamu ya mwaka mzima.

๐Ÿ“Œ Ukimaliza malipo hati yako unaikuta mezani ofisini kwetu.

๐Ÿ“Œ Hapa tumepima viwanja 50 tu na vyote tunaviuza viwanja vyenye ukubwa wa 20*20 mpaka 30*40 kwa hiyo utaamua wewe unachukua ukubwa upi.

๐Ÿ“Œ Mradi upo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami yanapopita mabasi, unatembea kwa miguu kufika kituoni.

๐Ÿ“Œ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima na yenye mamlaka ya kupauza hapa, haruhusiwi mtu yeyote kukanyaga kwenye eneo bila ruhusa ya kampuni.

Tunawajari sana wateja wetu.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 360,000

(360,000X3)MBEZI MWISHO DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD....โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–SIFA ZA NYUMBA VYUMBA VIWI...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 800,000

House for rent Nyumba kali sana Inajitegemea Mahali: Mbezi beach jogooBei: 800,000 Kwa MweziMalipo: ...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

APARTMENT KALI MNOO..APARTMENT KALI ZA KISASA 700,000/= X 6TU๐Ÿ“๐Ÿ“NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO ๐Ÿ“CH...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

KODI 250000 K X3 /4/5 APATIMENTI ZIPO MBEZI KWA MUSUGURIKUTOKA BARABARANI UMBALI KILOMITA 3 NA POIN...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 280,000

APARTMENT NZURI MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 280,000X4x5x6PIGA SIMU ๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ APARTMENT HII IPO MB...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

KODI 200000 K X6 contact APATIMENTI ZIPO MBEZI KIBANDA CHA MKAAKUTOKA BARABARANI UMBALI KILOMITA1KU...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI KM1.5 KUTOKA LAMI BARABARA SAFI YA ZEGE MBAK...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 50,000,000

BEI MILIONI 50 MAONGEZI YAPONYUMBA INAUZWA IPO MBEZI MWISHO MAENEO YA YUSUFUKITUO UKISHUKA HAPO KWE...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,200,000

#VYUMBA_VIWILI_VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH ( Nyumba ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

$ 1,200 per month

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MITATU (3) APATIMENTI ZIPO MBEZI KWA MUSUGURIKUTOKA BARAB...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 150,000/= X 3 ๐ŸŒŸAPARTMENT HIYO INASIFA ZIFUATAZO #CHUMBA MA...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

APARTMENT KALI MNOO..APARTMENT KALI ZA KISASA 700,000/= X 6TU๐Ÿ“๐Ÿ“NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO ๐Ÿ“CH...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MITATU (3) APATIMENTI ZIPO MBEZI KWA MUSUGURIKUTOKA BARAB...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

DATE: 28/12/2025HOUSE FOR RENT: APARTMENTS ASKING PRICE: MILIONI 1.2TERMS OF PAYMENT: MIEZI 6DIREC...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 5,000,000

BEI MILIONI 5 NA LAKI TANOKIWANJA KINAUZWA KIPO MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA MWISHO UKISHUKA HAPO K...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 6,000,000

BEI MILIONI 6 NA LAKI TANOKIWANJA KINAUZWA KIPO MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA MWISHO UKISHUKA HAPO K...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 6,000,000

BEI MILIONI 6 NA LAKI TANOKIWANJA KINAUZWA KIPO MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA MWISHO UKISHUKA HAPO K...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Apartiment house for rent nzuri kali sana Location mbezi kwa msuguli km1 usafiri upo bajaji na boda ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

$ 800 per month

VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH____________...