Viwanja vinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

ZINGA KANISANI.

NJIA KUELEKEA KANISA LA ROMA.

ENEO LIPO KATI YA KEREGE NA ZINGA TOWN BAGAMOYO

● Bei tunauza sqm 1 kwa 18,000Tsh na malipo ni kwa awamu mpaka miezi sita(6) yaani kiwanja cha ukubwa wa 20mita kwa 20mita unapata kwa 7milioni na hiyo unalipa kwa miezi sita tu.

Malipo utaanza na 3.5milioni tu, nyingine utalipa kwa awamu ya miezi sita(6).

Ukimaliza malipo utafutaji wa hatimiliki unaanza hapohapo bila kuchelewa.

● Hapa tumepima viwanja 50 tu na vyote tunaviuza viwanja vyenye ukubwa wa 20*20 mpaka 30*40 namaanisha 400sqm,500sqm,600sqm,700sqm,800sqm,900sqm mpaka 1200sqm vipo kwa hiyo utaamua wewe unachukua ukubwa upi.

● Mradi upo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami yanapopita mabasi, unatembea kwa miguu kufika kituoni.

● Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

● Mitaa tumeichonga vizuri na barabara za mitaa tumeweka kubwa size ya 10mita. Unangoja nin kununua sehemu kama hii maana bei ni kama tumegawa bure.

● Majirani wapo tayari na huduma kama maduka ya vitu vidogo vidogo yapo hapo hapo site.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima na yenye mamlaka ya kupauza hapa, haruhusiwi mtu yeyote kukanyaga kwenye eneo bila ruhusa ya kampuni.

Tunawajari sana wateja wetu.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 5,000,000

BEI MILIONI 5 NA LAKI TANOKIWANJA KINAUZWA KIPO MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA MWISHO UKISHUKA HAPO K...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 6,000,000

BEI MILIONI 6 NA LAKI TANOKIWANJA KINAUZWA KIPO MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA MWISHO UKISHUKA HAPO K...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 6,000,000

BEI MILIONI 6 NA LAKI TANOKIWANJA KINAUZWA KIPO MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA MWISHO UKISHUKA HAPO K...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Apartiment house for rent nzuri kali sana Location mbezi kwa msuguli km1 usafiri upo bajaji na boda ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

$ 800 per month

VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH____________...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

#0742260844_#0657484670.NYUMBA INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAAUMBALI WA KM 2BODA 1000 BAJAJI 700...

Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 11,000,000

BEI MILIONI 11MAONGEZI YAPONYUMBA INAUZWA IPOMBEZI MALAMBAMWISHONI PAGARE CHUMBA SEBULE BADO KUPAUA...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 5,000,000

BEI MILIONI 5 NA LAKI TANOKIWANJA KINAUZWA KIPO MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA MWISHO UKISHUKA HAPO K...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 6,000,000

BEI MILIONI 6 NA LAKI TANOKIWANJA KINAUZWA KIPO MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA MWISHO UKISHUKA HAPO K...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 150,000/= X 3 🌟APARTMENT HIYO INASIFA ZIFUATAZO #CHUMBA MA...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

.NYUMBA INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAAUMBALI WA KM 2BODA 1000 BAJAJI 700 UNAWEZ PITA TEMBONI AU...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6🌟SIFA ZAKE NI #VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULA...

Nyumba (Furnished) inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,600,000,000

*NYUMBA NZURI SANA YA GOROFA INAUZWA* *IPO MBEZI BEACH YA CHINI RAINBOW* *Ukubwa wa eneo ni SQM 10...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 150,000/= X 3 🌟APARTMENT HIYO INASIFA ZIFUATAZO #CHUMBA MA...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT MPYA 2 NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI KM1.5 KUTOKA LAMI ------Vyumb...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

$ 400,000

BEACH PLOT FOR SALE PRICE USD 400000Plot size sqmt 1000Location mbezi beach 0625584914

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

Stand alone house for rent Price tsh laki 83 bedroom house one bedroom is self contained Location mb...

Viwanja vinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 2,300,000

Eneo Zuri Sana LinapangishwaMahali: Mbezi Beach MakondeBei: 2.3m Kwa MweziMalipo: Miezi 10☑️Ukubwa: ...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,600,000,000

HOUSE FOR SALEHOUSE FOR SALE / NYUMBA NZURI SANALOCATION: MBEZI BEACH UPANDE WA CHINIFIXED PRICE: BI...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 280,000,000

KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – MBEZI BEACH DAR📍 Ni kiwanja cha pili tu kuroka lami📄 Umiliki: Hati ...