Viwanja vinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
VIWANJA VINAUZWA VIWANJA VINAUZWA
MAHALI VILIPO NI MBEZI MPIJI MAGOE UNAVUKA MTO
VIWANJA VIPO UMBALI WA KM 1.5
TOKA MPIJI MAGOE MWISHO
DALADALA 700 TOKA MBEZI STENDI KUU YA MAGHUFULLI
UKISHUKA BODA 1000 TU
MAJI UMEME VIPO
UKUBWA SQM 400
BEI MIL 4
๐ MTAA WA LUMUMBA VIWANJA VINAUZWA
SQM 1100
BEI MIL 9 TU
MTAA WA LUMUMBA
VIWANJA VINAUZWA
SQM 400
BEI MIL 3
KIWANJA KINA BANDA NDANI SQM 1000
BEI MIL 10
NI CHUMBA NA SEBULE
UMBALI KM 3 KUTOKA KIBAMBA KIBWEGERE
UNAVUKA DALAJA LA JESHI
VIPO MAZINGILA TULIVU NA VYOTE VIMEPIMWA
HATI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
KARIBU SANA MTEJA wasiliana nas kwa haraka *#0652407997๐ฒ๐ฒ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟwhatsp (#0767427997