Viwanja vinauzwa Mbezi, Pwani
VIWANJA VINAUZWA VIWANJA VIPO MAENEO TOFAUTI TOFAUTI
Mbezi ya kimara kiwanja kinauzwa kiwanja kipo mbezi mshikamano
Kiwanja kipo umbari wa km 3 kutoka moro road stendi kuu ya mabus yaendayo MIKOANI
Kiwanja kina ukubwa wa SQM 560
Kiwanja kipo ndani ya fensi geti tayali
Bei mil 32
Hati mauziano selikali ya mtaa
MKOA WA PWANI KIBAHA MTAA WA LUMUMBA
Viwanja vinauzwa viwanja vipo mtaa mzuli sana sana
Viwanja vipo umbali wa km 5 kutoka stendi ya mwendo Kasi mkoa wa pwani
Viwanja vipo barabara mpya inayowekwa lami kutoka hiyo barabara kuna umbali wa km 1 tu
Daladala 1000 tu
Loliondo mapinga kupitia vikawe
Ukubwa SQM 1100
Bei mil 9 TU
Na SQM 400 bei mil 35 tu
Umeme maji vipo
MKOA WA PWANI KIBAHA KIDIMU
viwanja vinauzwa viwanja vipo umbali wa km 2
Kutoka stendi ya mpiji magoe boda 1500
Viwanja vipo mtaa wa mkombozi SQM 400 Bei mil 4 top
Bei hizo zote hazipungui