Viwanja vinauzwa Mbutu, Tabora


MRADI MPYA WA VIWANJA MBUTU MCHIKICHINI & MBUTU KICHANGANI.
Karibu ujipatie kiwanja/ Viwanja vilivyo pimwa kwa bei nafuu sana maeneo ya KIGAMBONI MBUTU MCHIKICHINI na MBUTU KICHANGANI
📌UMBALI KUTOKA BARABARANI
Viwanja vyetu vipo Umbali wa KM 20 kutoka Darajani/Ferry na Umbali wa KM 2 tu kutoka barabara kuu inayo elekea Cheka
📌BEI YA VIWANJA
Bei kwa Mita moja ya mraba ni Shilingi za kitanzanja 22,000/= Tu
Sawa na Shilingi 8,800,000/= kwenye kiwanja chanye ukubwa wa mita 20 kwa 20 (400 Square Meters)
📌SIZE YA VIWANJA
Ukubwa wa Viwanja ni Kuanzia mita za mraba (468 SQM hadi 700
📌MFUMO WA MALIPO
LIPIA 2,000,000/= tu kama malipo ya awali kiasi kinacho baki lipia kidogo kidogo kwa miezi Sita
MAWASILIANO☎️
Wasiliana nasi Leo kwa namba 👇
0733 139 177.