Viwanja vinauzwa Mbuyuni, Morogoro
📍NAWAKUMBUSHA TU HAPA NI MADALE MIVUMONI
📍ACHA KUIITA JANUARY NJAANUARY UONE KAMA HAUTAWEKEZA KAMA WENZAKO BILA KUJALI NI MWEZI GANI, USIZUIE BARAKA ZAKO KWA KINYWA CHAKO
MIRADI YETU NA SIFA ZAKE
📍MADALE MIVUMONI
🥂2Km KUTOKA SALASALA MWISHO WA LAMI, UNAINGILIA NJIA YA MBUYUNI MBEZI BEACH
🥂4km KUTOKA GOBA ROAD
🥂2KM KUTOKA LAMI YA MADALE
✅MAJI YA DAWASA, UMEME HADI SITE, NEIGHBORHOOD NZURI, SHULE NA HOSPITALI KAMA ZOTE
🥂Cash : 58,000 kwa SQM
🥂Installment : 60,000 kwa SQM , unaanza na 50% halafu 50% unalipa ndani ya miezi 6,sio lazima kulipa kila mwezi
📍KIBAHA PANGANI
🥂3Km KUTOKA MOROGORO ROAD
🥂1.5Km KUTOKA LAMI YA KUELEKEA MAPINGA
✅UMEME, MAJI, SHULE NA HOSPITALI VIPO
🥂Cash : 14,500 kwa SQM
🥂Installment : 15,000 kwa SQM, UNAANZA NA 50% halafu 50% UNALIPA NDANI YA MIEZI 6
📍KIGAMBONI KIMBIJI - POTEA
🥂38Km KUTOKA FERRY
🥂4KM KUTOKA MAIN ROAD YA KIMBIJI
🥂Cash : 7,000 Kwa SQM
Installment ya miezi 6: UNAANZA NA 1M na UNALIPA MALIPO YALOBAKI NDANI YA MIEIZI 6 SIO LAZIMA KULIPA KILA MWEZI
🥂Installment ya mieiz 12: ANZA NA 350k NA ULIPE 350k KILA MWEZI KWA MIEZI 12
📍DODOMA
📌IHUMWA
📌CHAHWA
📌MSALATO
📌NALA BARAZANI
📌MTUMBA
CHECKLIST
✅VIWANJA VYOTE VIMEPIMWA
✅HATI MILIKI MPYA KWA JINA LA MTEJA
✅BARABARA NI PANA NA ZINAFIKIKA
✅VIWANJA VIKO JUU NA TAMBARARE NA HAVINA ASILI YA KUJAA MAJI
OFFICE 📍IPS BUILDING, 5th Floor, POSTA MPYA
🥂