Viwanja vinauzwa Mbuyuni, Morogoro
*LIMESHUKA BEI SASA NI MILIONI 300 TU*
*ENEO KUBWA, VIWANJA VIKUBWA VIWILI VINAUZWA
SQM 9084, VIMEUNGANA PAMOJA VYA KWANZA LAMI DAR ES SALAM ROAD, BEI YA KUOKOTA*
Viwanja ni vya kwanza kwenye lami Barabara kuu iendayo Dar es salam/Morogoro
Vipo Vikonje Mbuyuni vinapakana na kiwanja cha Karim Bhanj.
"SIFA NA UPEKEE WA VIWANJA HIVI"
- Vina Hati kubwa Safi kabisa
- Vinatazama barabara kuu ya lami.
- Vimezungukwa na barabara pande zote, mbele, nyuma na ubavuni.
- Ni eneo kubwa kwa matumizi ya YARD, BIASHARA NK.
Ukubwa: SQM 4668 na SQM 4416
JUMLA: SQM 9084
π *BEI MILIONI 300 VYOTE*
Mawasiliano: 0675 982 221
KARIBU TUKUHUDUMIE π€
#MilikiArdhiNasi #viwanjatz
#viwanja #bungeni
#dodoma #bunge