Viwanja vinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 80,000 per sqm
Project
Yes

LEO SIKU YA KUPANDA MAWE SITE, UKIHITAJI KUONA UZURI WA ENEO LETU NJOO UTATUKUTA HAPAHAPA SITE.

MBWENI, MBWENI MALINDI

➑️ Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.

➑️ Hapa tumepima viwanja 8 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo, SWIPE LEFT UONE PICHA πŸ“Έ.

➑️ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan mbweni wengi mnaijua kwa kupangika.

➑️ Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

➑️ Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.

➑️ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

●●● Watu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.

π—•π—˜π—œ 𝗭𝗔 π—©π—œπ—ͺ𝗔𝗑𝗝𝗔 𝗑𝗔 π—¨π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—ͺπ—”π—žπ—˜

Hapa tunauza sqm 1 kwa 80,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 50MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.

Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 630 mpaka sqm 1500.

Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.

Malipo ya hapa ni mkopo wa miezi 6, utaanza na 50% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya miezi 6.

π—¨π— π—•π—”π—Ÿπ—œ π—ͺ𝗔 𝗣π—₯π—’π—π—˜π—–π—§ 𝗬𝗔 π—©π—œπ—ͺ𝗔𝗑𝗝𝗔

Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa yaani mbweni road.

π—žπ—ͺ𝗔 π— π—”π—˜π—Ÿπ—˜π—­π—’ π—­π—”π—œπ——π—œ π—§π—¨π—£π—œπ—šπ—œπ—˜ 𝗑𝗔𝗠𝗕𝗔 π—›π—œπ—­π—œ
#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.

Tunajari wateja wetu.

Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company
sustainablecities_company sustainablecities_company

Fika ofisini kwetu π—§π—˜π—©π—œ π—–π—’π— π— π—˜π—₯π—–π—œπ—”π—Ÿ 𝗣𝗔π—₯π—ž(𝗢𝗹𝗢𝗽𝗼 𝗑𝗕𝗖 π—•π—”π—‘π—ž), π— π—•π—˜π—­π—œ π—•π—˜π—”π—–π—› π—§π—”π—‘π—žπ—œ 𝗕𝗒𝗩𝗨 - 𝗗𝗔π—₯ π—˜π—¦ π—¦π—”π—Ÿπ—”π—”π— .

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000,000

Plot For Sale Mbweni Jktβ€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”Plot Size: 1469 sqmβ€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”πŸ’΅Askin...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

Nyumba inapangishwa inajitegemea mbweni ubungo bedroom's 3 self conteined one sitting room dining ro...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 1,000,000

🌟 Apartment for Rent – Mbweni, Dar es Salaam πŸŒŸπŸ“ Location: Mbweni – Just 1 minute from the main ro...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 42,000,000

TAREH 24/7/2025 KIWANJA KINAUZWA DAR ES SALAM TZ MAHALI MBWENI KIEMBENI KIWANJA KINZULI SANA AKIPO M...

Viwanja vinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 20,000

VIWANJA VINAUZWA LOCATION MBWENI KIEMBENIUKUBWA SQM 400BEI 12 LAKI 8GHARAMA ZA KUONA 20000CALL 673 6...

Viwanja vinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 20,000

VIWANJA VINAUZWA LOCATION MBWENI KIEMBENIUKUBWA SQM 400BEI 12 LAKI 8GHARAMA ZA KUONA 20000CALL 673 6...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

Kiwanja kinauzwa kipo Mbweni JktUkubwa wa Kiwanja Sqm 1250. Bei ni Milioni 350, Maongezi yapo.Ndani ...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 220,000,000

PLOT FOR SALELOCATION: MBWENI MPIJI PLOT SIZE SQM: 1700FULL TITLE DEEDPrice: ML 220. MAONGEZI YAP...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000,000

GOROFA LINAUNZWA””INA VYUMBAA VITANO””VIWILI SELF NA BOYCOTTER ””ENEO SQMT 1200””PRICE MILLION 700 T...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000,000

GOROFA LINAUNZWA””INA VYUMBAA VITANO””VIWILI SELF NA BOYCOTTER ””ENEO SQMT 1200””PRICE MILLION 700 T...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 750,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA #VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000,000

NYUMBA INAUZWA πŸ“ MBWENI MPIJI-DAR ES SALAAM- TANZANIA VYUMBA VITANOUKUBWA WA ENEO: 1200 SQMSUMEME N...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

PLOT FOR SALE Tsh MIL 150SQM 710MBWENI MALINDI

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 70,000,000

PLOT FOR SALELOCATION: MBWENIPLOT SIZE SQM: 650PRICE: Ml 70

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

HOUSE FOR FOR SALE ...(INAUZWA)πŸ‡ΉπŸ‡Ώ TANZANIA πŸ‘‰ MBWENI MPIJI_ BUNJU_MBEZI DAR_ES_SALAAM... TANZANIA ...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

HOUSE FOR FOR SALE ...(INAUZWA)πŸ‡ΉπŸ‡Ώ TANZANIA πŸ‘‰ MBWENI MPIJI_ BUNJU_MBEZI DAR_ES_SALAAM... TANZANIA ...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 670,000,000

HOUSE FOR SALE: LOCATION: MBWENI MPIJISQM: 1,0004 BIG ROOMS, (all self contained). PRICE: 670 MILLIO...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

πŸ“NYUMBA NZURI SANA 🏘️🏑 INAJITEGEMEA INAPANGISHWA: IPO MBWENI UBUNGO (DAR ES SALAAM)INA VYUMBA VIT...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 165,000,000

KIWANJA KINAUZWA MBWENI JKT UKUBWA SQR 600*BEI Tshs 165ml*HATI IPO KIWANJA CHA PILI KUTOKA LAMI KIWA...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,000,000

#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBWENI JKTβ€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”...