Viwanja vinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 80,000 per sqm
Project
Yes

MBWENI, MBWENI MALINDI

➑️ Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.

➑️ Hapa tumepima viwanja 8 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo, SWIPE LEFT UONE PICHA πŸ“Έ.

➑️ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan mbweni wengi mnaijua kwa kupangika.

➑️ Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

➑️ Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.

➑️ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

●●● Watu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.

π—•π—˜π—œ 𝗭𝗔 π—©π—œπ—ͺ𝗔𝗑𝗝𝗔 𝗑𝗔 π—¨π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—ͺπ—”π—žπ—˜

Hapa tunauza sqm 1 kwa 80,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 50MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.

Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 630 mpaka sqm 1500.

Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.

Malipo ya hapa ni mkopo wa miezi 6, utaanza na 50% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya miezi 6.

π—¨π— π—•π—”π—Ÿπ—œ π—ͺ𝗔 𝗣π—₯π—’π—π—˜π—–π—§ 𝗬𝗔 π—©π—œπ—ͺ𝗔𝗑𝗝𝗔

Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa yaani mbweni road.

π—žπ—ͺ𝗔 π— π—”π—˜π—Ÿπ—˜π—­π—’ π—­π—”π—œπ——π—œ π—§π—¨π—£π—œπ—šπ—œπ—˜ 𝗑𝗔𝗠𝗕𝗔 π—›π—œπ—­π—œ
#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.

Tunajari wateja wetu.

Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company
sustainablecities_company sustainablecities_company

Fika ofisini kwetu π—§π—˜π—©π—œ π—–π—’π— π— π—˜π—₯π—–π—œπ—”π—Ÿ 𝗣𝗔π—₯π—ž(𝗢𝗹𝗢𝗽𝗼 𝗑𝗕𝗖 π—•π—”π—‘π—ž), π— π—•π—˜π—­π—œ π—•π—˜π—”π—–π—› π—§π—”π—‘π—žπ—œ 𝗕𝗒𝗩𝗨 - 𝗗𝗔π—₯ π—˜π—¦ π—¦π—”π—Ÿπ—”π—”π— .

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Apartments zinapangishwa, zipo Mbweni JktVyumba viwili kimoja master, Sitting Room, Dining Room, Kit...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

πŸ“NYUMBA NZURI 🏘️🏑 INAJITEGEMEA INAPANGISHWA: IPO MBWENI UBUNGO {DAR ES SALAAM}INA VYUMBA VITATU V...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Apartments zinapangishwa, zipo Mbweni JktVyumba viwili kimoja master, Sitting Room, Dining Room, Kit...

Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

$ 2,500 per month

LUXURY HOME FOR RENTLOCATION : MBWENI JKTRENT : USD $2500 PER MONTH 5 bedrooms en-suite Living roomD...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,800,000,000

MBWENI,DAR-ES-SALAAM,TANZANIA HOUSE FOR SALE / NYUMBA INAUZWA.6BEDROOMS. 5 EnsuiteAsking price:TSH B...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Apartments zinapangishwa, zipo Mbweni JktVyumba viwili kimoja master, Sitting Room, Dining Room, Kit...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

HOUSE FOR SALE AT MBWENI UBUNGO UKUBWA WA KIWANJA - SQM 600UMILIKI - HATI YA WIZARA ( TITLE DEED )_...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 900,000

πŸ“NYUMBA NZURI SANA 🏘️🏑 INAJITEGEMEA {STAND ALONE} INAPANGISHWA: IPO MBWENI UBUNGO {DAR ES SALAAM}...

Nyumba/Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

#0689138795whatsappNyumba inapangishwa million 1.2β€”β€”β€”β€”β€”Location- Mbweni moga β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”-Inavyumba...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

STAND ALONE INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBWENI ______________KODI TSHS 1,200,000/=KWA MW...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,600,000

STAND ALONE INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBWENI ______________KODI TSHS 1,600,000/=KWA MW...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

🌟 APARTMENT INAPANGISHWA – NDANI YA FENSI! πŸŒŸπŸ“ Mahali: Mbweni - UbungoπŸ”Ή Muundo wa Nyumba: β€’ πŸ›οΈ C...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

House For Sale Location:Mbweni Ubungo Plot Size Sqm 600Documents:Title Deeds(Ina Hati Ya Wizara)3 Be...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

#0685 006223#whatsaap_no_0718 759287β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”Apartment ya vyumba 3 inapangishwa Mbweni β€”β€”-Bei millio...

Nyumba/Apartment inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 180,000,000

plot for salesqm 900mbweni malindiml 180The plot is good for residential apartment or house good nei...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

$ 1,000 per month

STAND ALONE INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBWENI JKT ______________KODI USD $1000 KWA MWEZ...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

#VYUMBA_VIWILI INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBWENI JKT ______________KODI TSHS LAKI 600,00...

Nyumba/Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,300,000

#VYUMBA_VINNE APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBWENI JKT______________KODI TSHS MIL...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

PLOT FOR SALELOCATION: MBWENI JKT BLOCK 8PLOT SIZE SQM: 1,000FULL TITLE DEEDPrice: MILLION 150Call...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 30,000

APARTMENT MBWENI FULL FURNISHED LOCATED IN:- MBWENI UBUNGO FEW METERS FROM MAIN ROAD 2 BEDROOMS ALL ...