Viwanja vinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 80,000 per sqm
Project
Yes

MRADI UMEPATIKANA DAKIKA ZA JIONI SANA ..MCHELEWE NYINYI TU.

Wewe unakopeshwa kiwanja mbweni tena mkopo wa miezi sita(6).

MBWENI, MBWENI MALINDI

โžก๏ธ Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.

โžก๏ธ Hapa tumepima viwanja 8 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo, SWIPE LEFT UONE PICHA ๐Ÿ“ธ.

โžก๏ธ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan mbweni wengi mnaijua kwa kupangika.

โžก๏ธ Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

โžก๏ธ Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.

โžก๏ธ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

โ—โ—โ— Watu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.

๐—•๐—˜๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—ช๐—”๐—ก๐—๐—” ๐—ก๐—” ๐—จ๐—ž๐—จ๐—•๐—ช๐—” ๐—ช๐—”๐—ž๐—˜

Hapa tunauza sqm 1 kwa 80,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 50MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.

Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 630 mpaka sqm 1500.

Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.

Malipo ya hapa ni mkopo wa miezi 6, utaanza na 50% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya miezi 6.

๐—จ๐— ๐—•๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—ฃ๐—ฅ๐—ข๐—๐—˜๐—–๐—ง ๐—ฌ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—ช๐—”๐—ก๐—๐—”

Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa yaani mbweni road.

๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—ญ๐—ข ๐—ญ๐—”๐—œ๐——๐—œ ๐—ง๐—จ๐—ฃ๐—œ๐—š๐—œ๐—˜ ๐—ก๐—”๐— ๐—•๐—” ๐—›๐—œ๐—ญ๐—œ
#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.

Tunajari wateja wetu.

Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company
sustainablecities_company sustainablecities_company

Fika ofisini kwetu ๐—ง๐—˜๐—ฉ๐—œ ๐—–๐—ข๐— ๐— ๐—˜๐—ฅ๐—–๐—œ๐—”๐—Ÿ ๐—ฃ๐—”๐—ฅ๐—ž(๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฝ๐—ผ ๐—ก๐—•๐—– ๐—•๐—”๐—ก๐—ž), ๐— ๐—•๐—˜๐—ญ๐—œ ๐—•๐—˜๐—”๐—–๐—› ๐—ง๐—”๐—ก๐—ž๐—œ ๐—•๐—ข๐—ฉ๐—จ - ๐——๐—”๐—ฅ ๐—˜๐—ฆ ๐—ฆ๐—”๐—Ÿ๐—”๐—”๐— .

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

PLOT FOR SALELOCATION: MBWENI JKT BLOCK 8PLOT SIZE SQM: 1,000FULL TITLE DEEDPrice: MILLION 150Call...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 30,000

APARTMENT MBWENI FULL FURNISHED LOCATED IN:- MBWENI UBUNGO FEW METERS FROM MAIN ROAD 2 BEDROOMS ALL ...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000,000

KIWANJA KINAUZWA โ€“ SEHEMU YA KIFAHARI๐Ÿ“ Eneo: Mbweni JKTโœจ Hadhi ya eneo: Sehemu ya kifahari๐Ÿ›ฃ๏ธ Barab...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 30,000

#APARTMENT MBWENI #FULL_FURNISHED LOCATED IN:- #MBWENI_UBUNGO FEW METERS FROM MAIN ROAD ๐Ÿ“Œ2 BEDROOMS...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 450,000

#CHUMBA SEBULE JIKO CHOO INAPANGISHWAMAHALIMBWENI MOGA KARIBU NA LAMIKODI TSH 450,000 KWA MWEZIMALI...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 170,000,000

KIWANJA KINAUZWA MBWENI ROUND YA ABOUTJUST 50 METRES FROM TARMAC.DON'T THINK TWICE๐ŸšฎBEI, MILLION 170...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

MBWENI KWA MATAJIRIINJOO ISHI NA WA BARIKIWA WENZAKO WAKO HUKUPESA KAZI YAKE NDIO HIYOHUJATAFUTA UTE...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

HOUSE FOR SALEMBWENI UBUNGOSQM 700ml 250FULL DOCUMENT #3bedroomsContact 07125316570789731695

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

(stand alone) house for rent 1000000/=/month at mbweni... MBWENI, DARES SALAAM, TANZANIA________Ame...

Nyumba inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 800,000,000

*Nyumba INAUZWA* Ipo Mbweni, Mpiji DsmUkubwa wa eneo ni sqm 1200 *Bei ni Tsh 800m/-* Ina Hati miliki...

Nyumba inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 800,000,000

*Nyumba INAUZWA* Ipo Mbweni, Mpiji Dsm0759128747 06244365030712058357 whatsappUkubwa wa eneo ni sqm ...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 650,000,000

๐ŸŒŸ PLOT FOR SALE ๐ŸŒŸ๐Ÿ“ Location: Mbweni JKT, Dar es Salaam๐Ÿ“ Size: 3,035 SQM๐Ÿ“œ Ownership: Full Minist...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

Ploti for salePrice milioni 160 mLLocation mbweni malindiUkubwa wa eneoNi sQm 600

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 700,000

ใƒปใƒปใƒป#VYUMBA_VIWILI_VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBWENI UBUNGOโ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

๐Ÿ“NYUMBA NZURI SANA ๐Ÿ˜๏ธ๐Ÿก APARTMENT INAPANGISHWA: IPO MBWENI JKT{DAR ES SALAAM}INA VYUMBA VITATU VYU...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

๐Ÿ“NYUMBA NZURI SANA ๐Ÿ˜๏ธ๐Ÿก APARTMENT INAPANGISHWA: IPO MBWENI JKT{DAR ES SALAAM}INA VYUMBA VITATU VYU...

Nyumba (Furnished) ya vyumba vinne inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 30,000

STAND ALONE HOUSE FOR RENT FULL FURNISHED LOCATED IN:- MBWENI UBUNGO FEW METERS FROM MAIN ROAD 4 BED...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000,000

PLOT FOR SALE / KIWANJA KINAUZWA๐Ÿ“ Location: Mbweni Malindi๐Ÿ“ Size: SQM 1600๐Ÿ’ฐ Price: TZS Milioni 30...

Nyumba inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

TWO BEDROOM APARTMENT AVAILABLE โ€“ MBWENI (ZSSF) ๐ŸกโœจFully furnished, classy, clean & neat two-bedroom...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

Ploti for salePrice milioni 1,20 mLLocation mbweni mzikiUkubwa wa eneoNi sQm 850Hati safi