Viwanja vinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam


Plots for sale Mbweni malindi
Plot zipo mita 300 kutoka barabara ya lami
Viwanja vipo 7, kuanzia sqm 630, na sqm 800, unaweza ukaunganisha.
Unaweza pia ukalipa 50% inayobaki ukamalizia kidogokidogo ndani ya miezi 6.
Eneo limepiwa na lina mawe ya wizara tayari, ukinunua moja kwa moja unprocess hati.
Bei ya kila sqm ni sh. Elfu 80,000/=
Sqm 630=Milioni 50
Sqm 830=Milioni 67
Call
0787 535110
Whatsap
0762-705141