Viwanja vinauzwa Miganga, Singida


*VIWANJA VIWILI MAHALI PAMOJA VIMEUNGANA, NAVIUZA HAPA MIGANGA NORTH DODOMA JIJI*
Vyote vina hati kila kimoja na hati yake.
Unaweza kuchukua vyote ukitaka au kuchukua kimoja kimoja.
- Ukubwa SQM 1050 vyote
- Kila kimoja SQM 500+
📍 *BEI MILIONI 34 VYOTE*
Kila kimoja Milioni 17 na mazaungumzo yapo
Mtaa mzuri umejengwa kisasa mno
KARIBU TUKUHUDUMIE 🤝
0672312302