Viwanja vinauzwa Mipeko, Pwani


TUNAUZA VIWANJA LAKI NANE 50 KWA 40 TAMBARALE 0718115549
Tunauza viwanja kwa bei nafuu. Viwanja vipo tambarale safi kabisa na vipo sehemu mbalimbali.
Kama kweli ni muhitaji wa kiwanja huwezi kukosa kiwanja kwa sababu viwanja vyetu vina sifa nyingi zitakazokupendeza. Na hata Kama pesa yako ni pungufu hilo kwetu sio tatizo utalipa kwa awamu.
Maeneo yapo unaweza kuunganisha viwanja kuanzia viwili nakuendelea. Njoo mapema ujionee na uchague kiwanja chako.
BEI ZETU ZINAANZIA
Tsh 1,000,000/
Tsh 1,200,000/
Tsh 1,300,000/
Tsh 1,500,000/
Tsh 1,600,000/
Tsh 1,700,000/
Tsh 1,800,000/
Tsh 2,000,000
MIUNDO MBINU KAMA
Maji
Barabara
Umeme
Shule
Zahanati nk vyote vipo.
Viwanja vipo Mipeko Mbande karibu na uwanja wa mpira wa Azamu uliopo Chamazi wilaya ya Temeke mkoa wa Dark es salaam. Umbali vilipo viwanja na uwanja wa mpira wa Azamu ni km 3.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0684629232/ 0718115549 au njoo in box