Viwanja vinauzwa Miyuji, Dodoma


VIWANJA VIMEBAKI VITATU MIYUJI LAMI MPYA DODOMA JIJI
✅ Ni viwanja vikubwa kwa makazi na kimoja kizuri kwa Biashara.
✅ Viwanja vipo MIYUJI, jirani na ST Gema
✅ Vipo umbali wa meter 150 kutoka barabara ya lami hii mpya
UKUBWA WA VIWANJA NA BEI ZAKE
📍Ukubwa SQM 1265 Tsh Milioni 25
📍Ukubwa SQM 2089 Tsh. Milioni 33
📍Ukubwa SQM 1220 Tsh. Milioni 25 kina msingi wa ujenzi
✅ Huduma zote zipo na Mtaa umejengwa Kisasa mno
✅ Tazama ramani ya viwanja chini
0752444581
KARIBU TUKUHUDUMIE 🙏🙏