Viwanja vinauzwa Miyuji, Dodoma
VIWANJA VITATU SWASWA BLOCK C.
SQM 602
SQM 600
SQM 600
Viwanja vipo mita chache kutoka barabara ya lami mpya iendayo St. Gemma hadi miyuji kibaoni ambayo inaungana na Arusha Road.
Bei ya kila kimoja milion 30. Nunua kimoja au viwili au vyote.
Wasiliana nasi kwa simu namba 0675 982 221.
#viwanjatz #dodoma #milikiardhinasi