Viwanja vinauzwa Mjini, Ruvuma

 media -1
media -1
Sh. 5,800,000
Installment Allowed
Yes
Project
Yes

MRADI MPYA WA VIWANJA KISEMVULE MJINI.
Ofa yetu bado inaendelea.
Bei ni Million tano na laki nane Tu 5.8M tu vya makazi na vya biashara ni 7 millioni TU.
Piga/WhatsApp
0654 77 39 67
0752 74 47 81

▶️Viwanja vinapatikana KISEMVULE MJINI KABISA karibu kabisa na MBAGALA RANGA 3.
..
➡️Ni Viwanja Vizuri Na mji uliopangiliwa kisasa zaidi, viwanja vimepimwa ni tambarare na vimezunguka na huduma muhimu za kijamii, kama hospitali, shule za serikali , maji, umeme, vituo vya polisi na usafiri wa bajaji na bodaboda Tu.
..
▶️Ni MITA 900 TU kutoka LAMI usafiri NI wa Bajaj TSh 500/= na bodaboda ni TSh 1000/= paka kwenye mradi wetu.
..
➡️Ukubwa wa Viwanja vyetu.(sqm 200 ,400,600,1000)
Futi 40X50 SQM 200 Bei tsh 5.8 million

Futi 80X50 SQM 400 Bei tsh 11.6million.

Futi 120X100 SQM 800 Bei tsh 23.2 million.
..
Unauwezo wa kuonganisha viwanja viwili, vinne kulinganaa na kipato chako na ukubwa unaoitajia.
..
Utaratibu wa kulipia unaweza lipia kwa awamu au cash, malipo kwa awamu utaanza 50% hadi 70 %million tatu tu (TSh 3,000,000/=) kiasi kinachobakia utalipia ndani ya miezi 3 hadi 4

Usafiri wa kufika hapa KISEMVULE kutoka Kariakoo, Posta, Tandika, Temeke ni uhakika muda wote unapanda gari moja tu kutoka maeneo hayo.

NB. Karibu kuona viwanja kila siku tupo kuanzia saa 2 asubuhi paka 10 jioni.
Ofisi zetu zipo VIKINDU

Safari hii ushindwe ww tu kujenga na Chagile Real Estate.

Ardhi ni hazina na fainali ni uzeeni kijana mwenzangu.
#viwanjavikindu #yangasc #simbasc #viwanja #bongo #oman

Chagile Real Estate TZ |WAUZAJI VIWANJA [PLOTS SERVICES]
chagile_real_estate_tz
Chagile Real Estate TZ |WAUZAJI VIWANJA [PLOTS SERVICES]

Similar items by location

Nyumba inapangishwa Mjini, Ruvuma

Sh. 100,000

NYUMBA NZURI ( INAPANGISHWA BEI NI 100K🌟NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHUMBA KIKUBWA #SEBURE #CH...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 38,000,000

KIWANJA KINAUZWA CHIDACHI DODOMA.👉 Km 7.5 Kutoka mjini👉kipo mtaa wa Mzuri Sana👉kina ukubwa wa Sqm...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 22,000,000

KIWANJA KINAUZWA ZC MICHESE IMEPAKANA NA ITEGA DODOMA.👉 Km 7 Kutoka mjini👉kipo mtaa wa Mzuri Sana...

Nyumba inapangishwa Mjini, Ruvuma

Sh. 500,000

APPARTMENT INAPANGISHWA KARIBU NA MJINI______MAHALI-AREA C ______MUUNDO -VYUMBA 03(01 MASTA)-SEBULE-...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 47,800,000

✅Nauza kiwanja hichi DODOMA MJINI✅Mkalama block DD ✅Kiwanja kizuri saanaaa nakiuza kwa bei ya ofaa✅K...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 75,000,000

KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWAMAHALI-MJINI KABISA AREA A CENTER _________________________CHA 03 TOKA B...

Nyumba inapangishwa Mjini, Ruvuma

Sh. 1,200,000

👉NYUMBA NZURI SANA INAPANGISHWA DODOMA MJINI ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖👉USHUANI MORENA HOTEL ➖➖➖➖➖➖➖➖👉👉VYUMB...

Viwanja vinauzwa Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 4,000,000

Thanks sana Maboss zetu mnaendelea kuweka mjini👊🏻🤜🏻👏🏻Kwetu hati ni lazma OFA OFA OFA YA FUNGA...

Nyumba inauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 140,000,000

NYUMBA NZURI INAUZWAUMBALI YA 04 TOKA BARABARA YA LAMI________________________MAHALI-ILAZO (JIRANI N...

Nyumba inauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 140,000,000

NYUMBA NZURI INAUZWAUMBALI YA 04 TOKA BARABARA YA LAMI________________________MAHALI-ILAZO (JIRANI N...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mjini, Ruvuma
  • By Installment

Sh. 600,000

Je, unakuja na familia na unahitaji apartment ili kupunguza gharama za chakula na kufua — hasa ukiwa...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 3,000,000

BEI MILIONI 3 HIVI KIWANJA UNAAONA NA KULIPIA..NJOO ANZIA MAISHA MJINI ..KIWANJA KINAUZWA KIPO MBEZI...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 85,000,000

KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWAMAHALI-MJINI KABISA AREA A CENTER _________________________CHA 03 TOKA B...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 85,000,000

KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWAMAHALI-MJINI KABISA AREA A CENTER _________________________CHA 03 TOKA B...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 85,000,000

KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWAMAHALI-MJINI KABISA AREA A CENTER _________________________CHA 03 TOKA B...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 85,000,000

KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWAMAHALI-MJINI KABISA AREA A CENTER _________________________CHA 03 TOKA B...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 85,000,000

KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWAMAHALI-MJINI KABISA AREA A CENTER _________________________CHA 03 TOKA B...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 35,000,000

Sqm 800Michese Zc Bei 35 milion Dodoma mjini opp ITEGA Call /whatsup 0758299052 au 0655527289#reales...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 46,000,000

NAUZA NYUMBA YA KUMALIZIA KIKUYU EXTENSION DODOMA JIRANI NA SGR STATION 👉 MUUNDO 👉 Vyumba Vinne ...

Nyumba inauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 3,000,000

GHOROFA LINAPANGISHWA MAENEO YA MJINIKWA MATUMIZI YA OFISI(SHIRIKA NA MAKAMPUNI/TAASISI)MAKAZI PIA U...