Viwanja vinauzwa Mjini, Ruvuma


Je wewe ni mmoja wapo bado unateseka kupata viwanja vya mjini..?
OMBA VIDEO YA MRADI UNAOUTAKA.
chagile real estate company ni mabigwa na wazoefu wa hizi kazi zaidi ya miaka mitano.
Tunakuletea Miradi yetu ya kisemvule mjini na vikindu mjini msimu huu wa ofa yakufunga mwaka na kufungua mwaka 2026.
Miradi yetu ya viwanja ni Kama ifuatavyo.
1] MRADI WA KISEMVULE MJINI UTUNGE.
km Moja TU kutoka lami.
Bei ya kiwanja million 5.6 Tu
Malipo kwa awamu mbili au Cash.
Ni viwanja vizuri kujenga apartment, makazi na biashara.
2]MRADI WA KISEMVULE MJINI NJIA PANDA YA KIBAMBA.
Mradi upo nusu km kutoka Lami.
Bei ya kiwanja million 4 Tu
Malipo kwa awamu mbili au Cash
Njoo ujenge apartment au makazi ya kuishi.
3] MRADI WA VIKINDU VIANZI MJINI.
Mradi upo km 4 kutoka lami.
Bei ya kiwanja million 3.3 TU
Malipo kwa awamu mbili au cash.
4] MRADI WA VIANZI CHANG'OMBE MJINI.
mradi upo km 5 Tu kutoka Lami.
Bei kiwanja million 2.6 Tu
Viwanja vizuri kwa makazi
Malipo kwa awamu mbili au cash.
KUMBUKA.
Ukubwa wa viwanja vyetu kuanzia sqm 200,400,600,1000 nakuendelea.
Malipo cash au kidogo kidogo
Huduma za kijamii zipo kama maji, umeme, shule, hospital zinapatikana.
Kwenda site ni kila siku.
OFISI ZETU ZIPO VIKINDU VIANZI.
Tupigie simu au Whatsapp.
0654773967
Ardhi ni akiba kwa maendeleo ya Sasa na yabadaye.


















