Viwanja vinauzwa Mjini, Ruvuma


Kama una ndoto za kumiliki kiwanja mjini tena katikati ya majumba!!! Hii hapa kwa ajili yako
Viwanja vipo vikindu-vianzi mjini
Huduma zote za kijamii zipo kama vile maji,umeme, shule, hospitali n.k
Ukubwa wa viwanja ni futi 50 kwa 40, ukubwa wa kujenga nyumba moja kubwa ya kisasa
Bei ya viwanja ni 2,500,000/= tuu anza na 1,500,000 iliyobaki utamalizia baada ya miezi mitatu
Kwa maelezo zaidi Tupigie simu 0718-563845
Wahi sasa utimize ndoto yako
Fainali uzeeni