Viwanja vinauzwa Mjini, Ruvuma


Karibuni viwanja vya makazi vipo vinauzwa mbande DSM sehemu ni tambarare Kabsa pia viwanja vyote vina barabara za mitaa ukitaka kufika mbande kama unatokea mjini panda 🚌 k/Koo mbande magengeni ukifika nakupokea nakupeleka saiti 🏍️ buku 🛺 jero hadi saiti
Ukubwa wa kiwanja na bei yake
Futi 30 kwa 50=Milioni 1✓
Futi 40 kwa 40=Milioni 1✓
Futi 40 kwa 50=Milioni 1,5✓
Futi 50 kwa 50=Milioni 1,7✓
Uduma zote za kijamii zipo
Barabara✓
Maji✓
Shule✓
Umeme✓
Hospital✓
Njoo uone ukipenda biashara inafanyika chini ya serikari ya mtaa hati unapewa pia malipo unaweza kulipia kwa hawamu (kidogo kidogo) Mawasiriano 0688703762